Chai ina nguvu kuliko ukweli

Chai ina nguvu kuliko ukweli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu Wakuu,

Tokea nimejiunga JF leo ndio nimekuja kugundua kuwa uzi wa chai/uongo una nguvu na una wachangiaji wengi kuliko uzi wa ukweli.

Mara nyingi nimekuwa naandika nyuzi za ukweli lakini wachangiaji wamekuwa wanavaa mask na kujifanya hawaoni na wala hawajali.

WAKUU KUANZIA SASA TEGEMEENI CHAI ZA KUTOSHA KUTOKA KWANGU.

Uzi Tayari.

Moderators nawapenda na naomba tuheshimiane.

JamiiForums2144198311.gif


JIANDAENI KWA CHAI ZA KUTOSHA.
 
😂😂punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless 🤣🤣shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
Uzuri ni kwamba haunijui Mkuu, laiti Kama ungenijua mimi ni nani usingesema ulichonena hapo.

ASANTE KWA KUJALI MKUU.
 
[emoji23][emoji23]punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless [emoji1787][emoji1787]shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
No Hard Feelings Mkuu.

ASANTE MKUU / THANK YOU GENERAL.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom