Chai ina nguvu kuliko ukweli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu Wakuu,

Tokea nimejiunga JF leo ndio nimekuja kugundua kuwa uzi wa chai/uongo una nguvu na una wachangiaji wengi kuliko uzi wa ukweli.

Mara nyingi nimekuwa naandika nyuzi za ukweli lakini wachangiaji wamekuwa wanavaa mask na kujifanya hawaoni na wala hawajali.

WAKUU KUANZIA SASA TEGEMEENI CHAI ZA KUTOSHA KUTOKA KWANGU.

Uzi Tayari.

Moderators nawapenda na naomba tuheshimiane.



JIANDAENI KWA CHAI ZA KUTOSHA.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless 🀣🀣shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
 
Kazi kwako.
Kama una muda wa kutunga chai na hulipwi si bora ukaanzishe group la watsap la kulipia utungie watu stori zako za chai, maana walipaji hawatakosekana
Upo sahihi Mkuu.

AUDIENCE huwa inatafutwa, ikishapatikana ndio unatengeneza pesa.

ACHA TUMTUMIKIE MAX KWANZA.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless 🀣🀣shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
Uzuri ni kwamba haunijui Mkuu, laiti Kama ungenijua mimi ni nani usingesema ulichonena hapo.

ASANTE KWA KUJALI MKUU.
 
[emoji23][emoji23]punguza kushinda huku,fanya kazi,wenzio washinda humu ni majobless [emoji1787][emoji1787]shaurilo,wanatafuta umaarufu wa mitandaoni kujifariji.
No Hard Feelings Mkuu.

ASANTE MKUU / THANK YOU GENERAL.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…