2. lazima kutizamana usoni
hapa ndipo kwenye utata.
munakaa opposite. face to face.
hiyo maana yake kama ni mzanzibari na unaishi huko miaka nenda miaka rudi, na unatumia usafiri huu wa chai-maharage, wenzako (wazanzibari wenzako watakujua).
kama ni mgeni umetoka bara, watakujua kirahisi sana. hata ukienda dukani darajani watakuuzia vitu bei juu. kwa sababu wewe ni mbara.
hapo nasema kifua mbele, wazanzibari wanabagua wabara!!