Na UDA zilikuwa zinaishia Ubungo lilipo jengo l Tanesco. Kutoka Ubungo kwenda Kibaha ilikuwa na pickups na malori......Watoto wa juzi huu usafiri hawauwezi kuelewa
Usafiri bongo umetoka mbali
Ova
View attachment 1991028
Siyo watoto wa juzi tu na wale waliokuja mjini sababu ya kuja kusoma chuo.Watoto wa juzi huu usafiri hawauwezi kuelewa
Usafiri bongo umetoka mbali
Ova
View attachment 1991028
Hii siyo kitambo mbona si zipo kibao tuu hapo zanzibar mpaka kesho??Watoto wa juzi huu usafiri hawauwezi kuelewa
Usafiri bongo umetoka mbali
Ova
View attachment 1991028