Shuku_
Senior Member
- Sep 26, 2019
- 174
- 216
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi.
Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI.
Nisipokunywa CHAI hali hiyo ya USINGIZI siwezi kuipata wakati wa asubuhi.
Hivyo imenilazimu kuacha unywaji wa chai kwa7b ya usingizi na mpaka sasa nna miaka mingi tangu niache unywaji huo.
______________________
Lengo la kuleta hoja hii nahitaji kujua hali hii inanipata mm tu au watu wote wanao tumia chai nchi?.