INAUZWA Chainsaw inauzwa

John Elia

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
87
Reaction score
96
Ni mashine ya kuangushia miti au kupasua mbao kwa wale wazoefu wa kuitumia
Mashine iko katika hali nzuri

Tangu inunuliwe imetumia chain mbili tu,
Imebadilisha piston mara moja
Sababu ya kuiuza imekosa msimamizi

Chain saw inafaida Sana ukiwa katika mazingira ya miti mingi na ukiwa fundi mwenyewe
Napatikana iringa bei Million moja na laki 2.
Contact 0764125128
 

Attachments

  • IMG_20210117_125801_9.jpg
    97.8 KB · Views: 12
  • IMG_20210117_125741_9.jpg
    164.8 KB · Views: 11
  • IMG_20210117_125726_2.jpg
    169 KB · Views: 10
  • IMG_20210117_125715_1.jpg
    159.4 KB · Views: 11
Watembelee mafundi wa chainsaw(wanaotengeneza) waambie wakutafutie mteja Mara nyingi huwa wanawajua watu wanaotaka kununua chainsaw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…