Mbepo yamba JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 1,262 Reaction score 1,773 Nov 29, 2021 #1 Wakuu nauza chainsaw aina na brand ni kama inavyoonekana kwenye picha. Chainsaw hii ni used, imetumika mwezi mmoja tuu. Bei yake ni 1,400,000/= tuu. Mazungumzo yapo Mashine iko Mbeya. Interested buyer niwasiliane inbox tafadhali
Wakuu nauza chainsaw aina na brand ni kama inavyoonekana kwenye picha. Chainsaw hii ni used, imetumika mwezi mmoja tuu. Bei yake ni 1,400,000/= tuu. Mazungumzo yapo Mashine iko Mbeya. Interested buyer niwasiliane inbox tafadhali
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,427 Reaction score 10,905 Jan 16, 2022 #2 Big ishapata mteja!? Natafuta 18' bei!?