Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Heri ya noeli na mwaka mpya.
Wote tunajua umuhimu wa kuwepo hewani kimawasiliano. Either kikawaida au kwa kua 'access' mtandao. Muda wa mtu Kuwepo hewani kwa asilimia kubwa kunakuwa determined na uwezo battery ya simu yako.
Ndio maana zama zile wakati simu ndio zinaingia kigezo kikubwa wakati wa kununua ilikuwa ni ilikuwa ' battery lake linakaa siku ngapi??'
Kiufupi ilikuwa ni kwamba speciation kuu kwa mtu kuchagua Siemens, nokia Phillips etc kama makampuni ya simu ilikuwa ni uwezo wa battery.
Tuondoke huko analogy era.
Baada ya kuingia simu janja kama miaka kumi hv smartphones ama simu janja wengi tumeona makampuni mengi yakiboresha na kuweka madoido mengi kwenye hizi simu kwenye issue za storage, ram, uwezo wa camera, processor nk.
Lkn uwezo wa battery in terms of mAH kama ni kipimo cha ukubwa na uwezo wa battery ndipo wabongo wengi sie huzingatia saaana.
Simu nyingi zinazotolewa kwa kuanzia miaka 3 nyuma zimekuwa zikiboreshwa uwezo wa battery. Mfano simu za Samsung zilikuwa zikilalamikiwa kuwa na battery mbovu sana. Lakini matoleo ya A series yalionesha jinsi kampuni ilivoleta matoleo yenye battry kuanzia 4000 maH.
Tuende kwnye lengo la uzi huu.
ILI KUFANYA BATTERY ISIISHE HARAKA BASI CHAJI SIMU IKIPUNGUA HADI 40%
Yaani ikifika tu 40% iweke chaji.
Faida zake ni hizi
A) Battery kuchelewa kuisha chaji
Ukiwa unachaji simu ikiwa asilimia 40 hadi kufikia 100% uishaji wa chaji huwa ni wa taratibu sana mpk kuifikia 40% ikiwa imetoka kuchajiwa ikajaa.
Mimi kiufupi simu yangu ina mAH 4000 na nimeexperience kuichaji ikifika 40% na kweli tokea asbh mpk usiku nitatumia weeee ndio unakuta naenda lala usiku ikiwa 40%+. Hapo nilikuwa nina access mtandao, kupiga, music nk.
B) Kuongeza lifespan ya battery yako.
Simu yangu niliiinunua August mwaka jana 2020.lakini mpaka leo battery ina nguvu.
Kwanza toka nanunua huwa najitahidi ikifika hiyo 40% naiweka chaji. Afu huwa siitumii on charge. Naitunza simu yangu kwa kweli hadi nikiwa masomoni mates zangu walikuwa wakiishika wananiambia aisee unaitunza sana simu yako. Kingine huwa najitahidi nisishare chaji na simu nyingine. Simu yangu huwa inaua USB baada ya kuchajia simu nyingine. Haitaki kabisa. Usb ikitumika huko nikaitumia mimi basi simu itakaa siku nzima unakuta 12% na tena iyo USB inauwawa kabisa haitumiki kwingine tena.
Kushare chaji ni ujuha mwingine.