Chaji simu yako ikifika 40% ili isipate shida ya battery

Natumia turbo Charger, hata ikiwa empty within 45min inakua imeshajaa
 
Mkuu hii inatuhusu na sisi wa Lenovo? Battery ina mAh 10000.
 
Baada ya majadiliano kuhusu battery life nilisoma mtandaoni ni kweli inatakiwa battery isijae mpaka 100% na isipungue chini ya 30%...

Hii ni Kwa mujibu ya manufacturer WA li-ion,nilisoma zaidi ya articles kama 3 na zote zimeeleza vile wewe umeandika
 
Mbwembwe nyiiingi mkuu kumbe unatumia Huawei y7 prime anyway hongera kwa kuwa mkoroni kwa simu yako.
 
Mbona watu wanasema ukichaji mara kwa mara betry inakufa?
 
Simu gani hio? Nina moja hivi Ina 4000mah ugonjwa wake Ni kushare chaji na simu zingne mfano kina itel,infinix, oppo, tecno haitaki kabisa ukishatumia huko haitaki Tena Hadi ununue waya mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…