Beaping sound kabisa yaan ni km alam vileChaja inatoa beep sound au unasikia muungurumo
ndugu chaja sio ya kutengeneza hapo ni imeharibika inabidi ununue nyingine, weka picha yake hapa watu wakupe bei au nenda dukani moja kwa moja.Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
π π π π π πyenuewe yamefuta yameandika kelele