othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mwenye taarifa yoyote aiweke humu nasikia hiki chama cha walimu kimeshinda rufaa yake na kimeruhusiwa kufanya kazi zake kama hapo awali.
Ni chama ambacho kilianzishwa kama mbadala wa CWT chama cha kinyonyaji kwa walimu, kama ni kweli kimeruhusiwa basi itakuwa ni shughuli pevu kwa CWT.
Mwenye taarifa kamili aweke humu.
Ni chama ambacho kilianzishwa kama mbadala wa CWT chama cha kinyonyaji kwa walimu, kama ni kweli kimeruhusiwa basi itakuwa ni shughuli pevu kwa CWT.
Mwenye taarifa kamili aweke humu.