Chakubanga

Ingekuwa vizuri kama hizi katuni za Chakubanga zingekusanywa na kuwekwa katika kitabu. Kwa hakika ningekinunua.
 
just loved them...umenikumbusha mbali sana bro!thanks.kama unazo nyingine hebu zipost basi!
 
where in this country you got that Pics Man nakumbuka those 1980's jamani
Nilikuwa lazima nisome gazeti la Uhuru Kongwe ya CCM ni kucheki viponzo vya Chakubanga,

Nimfurahi sana kukiona duhh ama kweli nami ninge nunua kitabu chake kama hizo caartoons zake zote zikachpishwa kwa kitabu kimmoja
 
:director: ebu nimpige picha vizuri. ya kale dhahabu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…