Hilo ndio tatizo la kutotunza na kufuatilia maisha ya ma Celeb wetu kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kunatakiwa kuwa na vipindi ktk redio na Tv zetu za mahojiano, maisha ya watu walioifanyia mambo makubwa jamii yetu. Hivi maveteran wa vita, wachezaji maarufu, watangazaji, wanaharakati n.k wapi unaweweza kupata wapi data zao, picha zao, interviews n.k? Tunaishia kusema'' LUNYAMILA BWANA ALIKUWA WINGA MACHACHARI" lakin hatuwezi kuonyesha hata move moja alivyokuwa akinyanyasa enzi zile. Wenzetu wana mpaka mechi za kombe la dunia la 1966, striker wakali kama Eusobio n.k