DOKEZO CHAKUHAWATA wawageuza Walimu upatu, wagawana Tsh. Milioni 400 za Wanachama

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivyo ni vijisenti tu, walimu nao wanawakamua wazazi kila Jumamosi kwa hela ya mtihani! Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Mara mia CHAKUHAWAHATA kuliko jambazi kubwa CWT ..linaowanyonya walimu damu Kwa 2% kila nyongeza ikitokea Kwa mwalimu na lenyewe linaongeza makato...
 
Hata wagawane mahela ila bora huko watu wanakatwa 5000
 
Usisahau kunawa mikono kwa SABUNI na maji tiririka 😀😀😀😀
 
kakemee ujambazi na ulawiti wa cwt kwa Mishahara ya walimu kwanza!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…