Chakula Bora kwa ngombe wa maziwa Ni kipi ?

Chakula Bora kwa ngombe wa maziwa Ni kipi ?

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Salaam Sana wakuu.

Naomba kujua Kama Kuna kampuni inatengeneza chakula Cha ngombe kwa ajili ya kuongeza kiwango Cha chakula Kama kilivyo Cha kuku broiler

Au wewe mdau unatumia mbinu gani ?
 
Hii mada naona wamechungulia wadau 10 na kusepa zao bila comment yeyote
 
Kama vipo basi ni Mashudu, pumba, Molasesi,Mabaki ya chakula kama ndizi kuna mabaki yanayobaki baada ya kukamua mbege nayo ni chakula cha ziada ila muhimu hakikisha Ngombe wako wanapata chakula cha kutosha, Vinginevyo ufugaji utakushinda.
 
Salaam Sana wakuu.

Naomba kujua Kama Kuna kampuni inatengeneza chakula Cha ngombe kwa ajili ya kuongeza kiwango Cha chakula Kama kilivyo Cha kuku broiler

Au wewe mdau unatumia mbinu gani ?
Nenda kwenye wilaya yako kuna watumishi wa kilimo na ufugaji watakupa mwongozo pamoja na hayo kwenye jukwaa la kilimo hapa jf kuna uzi wa dokta wa mifugo mfwate pm akupe abc..
 
Ndugu asilimia kubwa ya chakula cha ngombe ni nyasi hivo pambania ziwe katika ubora utapata maziwa ya kutosha na kwa upande wa kampuni zile hasa utengeneza vyakula vya ziada na madini kufidia kinachokosekana kwenye nyasi ili kuongeza uzalishaji kiufupi nyasi za tz mara nyingi aznavirutubisho vya kutosha
Salaam Sana wakuu.

Naomba kujua Kama Kuna kampuni inatengeneza chakula Cha ngombe kwa ajili ya kuongeza kiwango Cha chakula Kama kilivyo Cha kuku broiler

Au wewe mdau unatumia mbinu gani ?
 
Back
Top Bottom