Chakula cha asili (vegeterian/Vegan) kwa ajili ya mtoto mchanga/mdogo

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
kuna dogo hapa nataka awe vegetarian/vegan...
angalau afikie hatua awe anatafuna tangawizi kama karanga huku akitabasamu bila kukunja sura.

kwa jiji la dsm, napata wapi haya mavitu...

greens,oats, nuts,dried fruits,Vegetarian mayonizer na makolokolo kibao kwa ajili ya huyu bwana mdogo ili awe bora kabisa kabisa kichwani na mwilini kiafya bila kutumia kiumbe hai chochote nje ya mzao wa ardhi bila kuhatarisha afya yake pia.

karibuni wakuu...
 
Mkuu Mungu akuongoze hakika utapata unachotafuta umewaza vyema mno kiufupi umenipa inspiration.
kuna dogo mmoja kabla familia haijasambaratika alikuwa vizuri sana kiasi kwamba ukimchanganya na watoto wenzake ni kama mafuta na maji.
Aliwahi kuugua wakampima hospitali wakakuta haumwi kitu ila kinga ya mwili imepitiliza.
hii ni kwa mujibu wa mtu wa karibu wa watu wao.
alikuwa anajua vingi kuliko hata umri.
 
Diet ya mboga mboga na matunda ni ya muhimu yenye faida lukuki mimi mwenyewe ni shahidi imenisaidia kupambana na addiction na kunirudisha kuwa normal in fact more than normal.
Mungu katufunilia mengi ila sisi hatujachukua maamuzi ya kuamini Alichosema.
 
ulikuwa na addiction gani chief.
 
Back
Top Bottom