mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
kuna dogo mmoja kabla familia haijasambaratika alikuwa vizuri sana kiasi kwamba ukimchanganya na watoto wenzake ni kama mafuta na maji.Mkuu Mungu akuongoze hakika utapata unachotafuta umewaza vyema mno kiufupi umenipa inspiration.
Diet ya mboga mboga na matunda ni ya muhimu yenye faida lukuki mimi mwenyewe ni shahidi imenisaidia kupambana na addiction na kunirudisha kuwa normal in fact more than normal.kuna dogo mmoja kabla familia haijasambaratika alikuwa vizuri sana kiasi kwamba ukimchanganya na watoto wenzake ni kama mafuta na maji.
Aliwahi kuugua wakampima hospitali wakakuta haumwi kitu ila kinga ya mwili imepitiliza.
hii ni kwa mujibu wa mtu wa karibu wa watu wao.
alikuwa anajua vingi kuliko hata umri.
ulikuwa na addiction gani chief.Diet ya mboga mboga na matunda ni ya muhimu yenye faida lukuki mimi mwenyewe ni shahidi imenisaidia kupambana na addiction na kunirudisha kuwa normal in fact more than normal.
Mungu katufunilia mengi ila sisi hatujachukua maamuzi ya kuamini Alichosema.