Chakula cha asili

Chakula cha asili

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1405034895074.jpg ukiangalia picha vizuri vimechemshwa turn na havina viungo vingi, vyakula vya Vasili kama hivi ni vizuri kwa afya ya mwili na akili na ndio maana wazee with waliweza kuishi miaka mingi bila magonjwa kama shinikizo LA damu, kisukari kansa nk
 
labda hao panzi ndio wa asili lakini hayo maviazi, mahindi (ugali), maharagwe yote niya mbegu za kisasa (hybrid) sio za asili
 
Back
Top Bottom