Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 11, 2014 #1 ukiangalia picha vizuri vimechemshwa turn na havina viungo vingi, vyakula vya Vasili kama hivi ni vizuri kwa afya ya mwili na akili na ndio maana wazee with waliweza kuishi miaka mingi bila magonjwa kama shinikizo LA damu, kisukari kansa nk
ukiangalia picha vizuri vimechemshwa turn na havina viungo vingi, vyakula vya Vasili kama hivi ni vizuri kwa afya ya mwili na akili na ndio maana wazee with waliweza kuishi miaka mingi bila magonjwa kama shinikizo LA damu, kisukari kansa nk
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 11, 2014 #2 Chakula kipi ambacho si cha asili?
TUPAC WA MWAKALELI JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 354 Reaction score 105 Jul 11, 2014 #3 FaizaFoxy said: Chakula kipi ambacho si cha asili? Click to expand... migagi
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 11, 2014 #4 TUPAC WA MWAKALELI said: migagi Click to expand... Duh! Kama ni matusi ya kikwenu hayo, basi mwenyewe!
TUPAC WA MWAKALELI said: migagi Click to expand... Duh! Kama ni matusi ya kikwenu hayo, basi mwenyewe!
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jul 11, 2014 #5 FaizaFoxy said: Duh! Kama ni matusi ya kikwenu hayo, basi mwenyewe! Click to expand... sio matusi nakumbuka enzi tunakua mahindi yakipandwa yanapoota sa ule mti unaobeba muhindi ndio tulikuwa tunaita hilo jina.........................
FaizaFoxy said: Duh! Kama ni matusi ya kikwenu hayo, basi mwenyewe! Click to expand... sio matusi nakumbuka enzi tunakua mahindi yakipandwa yanapoota sa ule mti unaobeba muhindi ndio tulikuwa tunaita hilo jina.........................
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 11, 2014 #6 Heaven on Earth said: sio matusi nakumbuka enzi tunakua mahindi yakipandwa yanapoota sa ule mti unaobeba muhindi ndio tulikuwa tunaita hilo jina......................... Click to expand... Hahahahaha, ahsante kwa kunijuza.
Heaven on Earth said: sio matusi nakumbuka enzi tunakua mahindi yakipandwa yanapoota sa ule mti unaobeba muhindi ndio tulikuwa tunaita hilo jina......................... Click to expand... Hahahahaha, ahsante kwa kunijuza.
Hayajamani JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 883 Reaction score 271 Jul 11, 2014 #7 labda hao panzi ndio wa asili lakini hayo maviazi, mahindi (ugali), maharagwe yote niya mbegu za kisasa (hybrid) sio za asili
labda hao panzi ndio wa asili lakini hayo maviazi, mahindi (ugali), maharagwe yote niya mbegu za kisasa (hybrid) sio za asili