Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Asante sana, mi nakula mchemsho wa samaki na dona hapa🙂.
Loh tualikane hata mifupa mkuuAsante sana, mi nakula mchemsho wa samaki na dona hapa🙂.
Karibu sana mrembo.
😱
Wapi Huko?
zinakokaangizwa hizo dagaa sijui masaki sijui gongo la mboto sijui vingunguti!Wapi Huko?
Kwangu umekuchoka Mara hii?zinakokaangizwa hizo dagaa sijui masaki sijui gongo la mboto sijui vingunguti!
Tandale kwa @eskylatzinakokaangizwa hizo dagaa sijui masaki sijui gongo la mboto sijui vingunguti!
weka picha basi.... [emoji6]Kwangu umekuchoka Mara hii?
Uje baadae...naandaa.
Oouh
Acha niitwe mchoyo...changu utakiona wewe tu.weka picha basi.... [emoji6]
Hili nimelibariki atakayekuita na alaaniwe.Acha niitwe mchoyo...changu utakiona wewe tu.
Hupendi tembele?HAPO KWENYE TEMBELE NDIO UMENIKIMBIZA NA VIATU NABEBA MIKONONI NTAVALIA MBELE YA SAFAR