Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Huna sufuria za kupikia ugali? Hongera kwa kula ugali ukitoka hapo itabidi uombe mechi ya away kwa kijana mzuri
Hee sufuria la ugali linatakiwa liweje Mkuu.?Huna sufuria za kupikia ugali? Hongera kwa kula ugali ukitoka hapo itabidi uombe mechi ya away kwa kijana mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Pilipili sijaweka nakula na mwanangu bado kachanga mkuuWrite your reply...ongezeamo na pilipili kichaa utanipata,halafu ugali uwe mgumu sio laini