Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Chasha Poultry Farm funguka vizuri ndg yangu kuhusu funza, make wanaopatikana kwa wingi ni wale wa vyoo vya shimo(samahani kwa nitakaowachefua) je, nao pia wanafaa kuwa virutubisho kama watakaushwa kwa ustadi?
ya ni sawa kabisa, na ni wazuri kuliko hata hao samaki kwa sababu some time samaki wanasababisha magonjwa kwa kuku, vitu vingine vyenye protein nyingi sana funza, mchwa
Chasa nataka kukuuliza maswali coz leo nmekupata,kwanza we ndo uli-influence kuingia kwenye industry ubarikiwe sana huna choyo!
1.nina vifaranga wangu wana umri wa mwezi 1 wa kienyeji wananyoka manyoya ila sio sana.ni tatizo gani?
2.Kuna miti inaitwa Lucina nmeanza kuwapa eti nikweli yana protein kwa wingi.
3. nataka kufuga kuku wa mayai wa kisasa nipandishe na majogoo ya kienyeji,je watoto wanaweza kujichunga kama wa kienyeji pia?
ni hayo tu mkuu
ya ni sawa kabisa, na ni wazuri kuliko hata hao samaki kwa sababu some time samaki wanasababisha magonjwa kwa kuku, vitu vingine vyenye protein nyingi sana funza, mchwa