*Unamualika binti lunch alafu anakuja kwa maringo, etii ooh bby ata sitakula wakat natoka home nimekula kuku choma na chips........ww kwa ugentlemen wako unamnunulia whiskey ya jack daniels ya elfu 50, baada ya binti wa watu kunywa mafunda kadhaa anatapika makande na mahindi ya kuchoma wallah.....sas hapo inabidi umuulize romantically....bby are u sure ulikula kuku au chakula cha kuku..???*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13]