Chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Ngoja waje watalaam Wa tiba asili akina doctor year
 
Pole mkuu. Haya mambo ni art. Lazima ujifunze!! Hata hivyo, Utulivu wa akili, mazoezi na ulaji sahihi (healthy eating) pia ni muhimu sana
 
Piga tizi tu mdau, mbona mimi mwenyewe diet yangu ya kawaida na mchezo naumudu vzr
 
Hizo nguvu ukipata za nn sasa km huna hela,mke atakula nguvu,hiyo juhudi ya kutafuta nguvu za kiume ukiitumia kumtafuta mungu na hela itapendeza sana
 
Hapa mnazungumzia nguvu za kiume Kwa maana ya uwezo wa kuwapa ujauzito wake zenu au nguvu za kupiga game muda mrefu na kumridhisha mwenzako mana naona watu wanataja vyakula vinavyosaidia utengenezaji wa mbegu kiwandani Vipi pumzi ya mchezo wenyewe yaani stamina ya kusimamia game yote ?
 
Je ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo
bao mbili mbona zinatosha kabisa kama umetembeza mkwaju kiukweli...ila kaka unaongelea kuwakomoa dada poa hapo utajijuuuuuu
 
Kupiga bao zaidi ya 2 sio kwamba wewe rijali ila unaelekea kwenye kuugua..!
Unaweza ukakojoa mara kumi ndani ya Dakika 15...Huu sio Urijali, Urijali ni Kuchelewa Kukojoa.

Acheni kula chips.
Umenena poa sana
 
Back
Top Bottom