Jamaa au mwenyewe? Kama huna nguvu huna tu, utakula kila kitu hatma yake utaishia kunenepeana ovyo ushindwe kabisa tendo lenyewe.Je ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo
Kula Karanga mbichi na maziwa fresh kila jion
Mimi ni Mae... Shicha mbeShimbony mbe, unaishi wapi.
bao mbili mbona zinatosha kabisa kama umetembeza mkwaju kiukweli...ila kaka unaongelea kuwakomoa dada poa hapo utajijuuuuuuJe ni vyakula gani au nini cha kufanya ili mwanaume aweze kupiga bao zaidi ya 2..maana kuna jamaa alikuwa anakula supu ya pweza napo tatizo badooo lipooo
Umenena poa sanaKupiga bao zaidi ya 2 sio kwamba wewe rijali ila unaelekea kwenye kuugua..!
Unaweza ukakojoa mara kumi ndani ya Dakika 15...Huu sio Urijali, Urijali ni Kuchelewa Kukojoa.
Acheni kula chips.
Hapo umenena, hiyo ni dawa tosha mkuu kwa swali lake.Pole mkuu. Haya mambo ni art. Lazima ujifunze!! Hata hivyo, Utulivu wa akili, mazoezi na ulaji sahihi (healthy eating) pia ni muhimu sana