Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
Karibu😛Duuh!!
hIYO YA tANZANIA HAPANA AISEE!!!
😛unaona ile ni kuku, naona hii chakula kizuriiiii kabisa TZ!Kumlazi, huyo Tz ni kuku au kammbwa kamekaushwa vizuuuri?
nakukubali nawe, ya TZ ni ya kiafya, hakuna mbolea!Nimeipenda ya Tz. Hizi zingine sukari nyingi
wewe ni chef mpishiWeka ugali dagaa bamia hapo
Umesahau pilipili,,,au umeishika mkononi?
Ulisahau Tanzania.
mbona sioni hapa?
Ulisahau Tanzania.
naipenda chakula tanzania, kuku ,dagaa,samaki choma...Ya Tanzania ndio yenyewe mate yananitoka - home sweet home