Chakula cha mende ni bora sana kwa afya ya binadamu

Fake

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
93
Reaction score
53
Ndugu wapendwa wa jamii forum,napenda kutambulisha na kuongelea hii biashara mpya ambayo imeshamiri sana mjini,na maanisha yaaji biashara ya MENDE kwa kuwa vijana wengi wamejikita katika ufugaji wa MENDE kama chakula bora ambacho utoa protein nyingi sana Kama virutubisho katika mwili wa mwanadamu na pia kuwa biashara yenye mafanikio na faida kubwa sana maana MENDE mmoja ambaye amerishwa vizuri anatakiwa kuuzwa 500/=kwani huwa na gramm 5, LAKINI kilo moja ya MENDE wa kukaangwa huweza kuuzwa mpaka 70,000/=ko ukijitahidi kuwafuga vizuri Sana kwa kuweza kuwalisha chakula bora kama unga,pumba pamoja na kuwapa maji safi na salama unaweza kula mema ya hii nchi maana kwa Kila box au tray moja ya mayai unauwezo wa kuwalisha zaidi ya MENDE 1,000/=ko kama kila MENDE Ni 500/=maana yake unaweza pata 500/=×1,000/={500,000/=} laki tano ambayo ni pesa ndefu sana kwa kipindi hichi Cha jiwe,Ko nawahasa sana watanzania mbadilike hili tuweze kuokoa hazina hii ambayo inapotea bila faida,na washauri muanze kufuga au kununua kwa wingi maana MENDE uboresha sanaafya hasa kwa watoto wadogo napia nawaibia Siri kubwa Sana wanaume wa dar maana inaongeza nguvu za kiume kuliko hata Viagra na vumbi la Kongo na pia wachina wanapenda sana kula MENDE wakiwa Tanzania kuliko chakula chochote kile ko hiyo Ni fursa moja wapo.
N•B:Ni marufuku kufuga au kuchukua MENDE wa chooni yaani IVINYENZI.
 
Hiyo chakula Ni ngeni kwangu
 
Jf katika ubora wake

asante Chief kwa habari ya ajabu
 
Nasubiri mishkaki ya nyoka, atapoanza kuuzwa kama pweza nitamtest naskia supu yake tamu sana!
 
Nasubiri mishkaki ya nyoka, atapoanza kuuzwa kama pweza nitamtest naskia supu yake tamu sana!
Test kwanza MENDE afu ntakujulisha na jinsi nyoka anavyo fugwa na kupikwa kiustadi zaidi.
 
Mimi nataka unipe huwakika wa soko nianze kufuga… mimi siwezi kula hata kama wanaongeza miaka ya kuishi duniani
 
Mimi nataka unipe huwakika wa soko nianze kufuga… mimi siwezi kula hata kama wanaongeza miaka ya kuishi duniani
Soko lipo la kutosha na kama MENDE mmoja ni 500/=je utashindwa kuzalisha hata MENDE 5,000/=kwa wiki mbili maana wao huwa wanakuwa kwa wiki mbili ambao Ni sawa na 500/=×5,000/={2,500,000/=} uoni huo ni mtaji tosha,na pia kilo moja ya kukaangwa ni 70,000/= ko tupige kazi.
 
Mmmmh hivi ile sinema ya kilimo kwanza ilishia wapi jamani
 
Sio hawa mende wa chooni au kwenye kabati za nguo
Uzuri nilisha sema mwanzoni kabisa kwenye huu uzi kuwa sio MENDE wa chooni wala kwenye nguo bali ni MENDE ambao wanafugwa kwa utaratibu mithili ya binadamu kwa kupewa careness ya kutosha na misosi ya nguvu maana mpaka MENDE afikishe gramm tano si haba.
N•B;usiiende kuwinda au kutega MENDE chooni.
 
Yaan nilikuwa nakula nimeacha dah...nimesikia kichefuchefu kabisa
 
Mmmmh hivi ile sinema ya kilimo kwanza ilishia wapi jamani
Sera ya kilimo kwanza{agriculture first}bado ipo,sema tatizo ni kuwekeza nguvu sana kwenye viwanda yaani Tanzania ya viwanda{Tanzania of industries} hili tuelekee uchumi wa Kati{middle income country}kwa kutengenezea linkages yaani forward &backward linkages baina ya kilimo {agriculture}&viwanda{industries} ko vijana msizani eti Sera imekufa hapana laaah because hata ufugaji wa MENDE bado Ni kilimo yaani diversification of agriculture means sio kuegemea upande mmoja tu wa kilimo ko tunakuja na ufugaji wa nyoka,mayai ya mbu na vingine vingi ili tuinue ajira kwa vijana ko msione kinyaa tu,Hilo ndio angalizo langu ko AGRICULTURE FIRST.
 
una sh ngapi mpaka sasa umezalisha kupitia hao mende wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…