chakula cha mtoto miezi kumi

chakula cha mtoto miezi kumi

giningi

Member
Joined
Jun 12, 2011
Posts
52
Reaction score
27
wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo
 
wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo

Siku hizi mambo yamebadilika sie zamani umri kama huo tulikuwa tunapewa hadi miwa lakini siku hizi watoto wanakula serelaki, sisi tulikuwa tunavaa nepi siku hizi wanavaa pempasi ngoja waje wazazi wa kisasa watakupa ushauri
 
Back
Top Bottom