giningi Member Joined Jun 12, 2011 Posts 52 Reaction score 27 Jun 30, 2011 #1 wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo
wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo
Sokomoko JF-Expert Member Joined Mar 29, 2008 Posts 1,915 Reaction score 129 Jun 30, 2011 #2 giningi said: wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo Click to expand... Siku hizi mambo yamebadilika sie zamani umri kama huo tulikuwa tunapewa hadi miwa lakini siku hizi watoto wanakula serelaki, sisi tulikuwa tunavaa nepi siku hizi wanavaa pempasi ngoja waje wazazi wa kisasa watakupa ushauri
giningi said: wale walezi jamani mnaweza kunisaidia mtoto wa miezi kumi naweza mpa chakula gani zaidi a uji wa lishe,juisi,matunda,mtoi,maji na kaugali kadogo Click to expand... Siku hizi mambo yamebadilika sie zamani umri kama huo tulikuwa tunapewa hadi miwa lakini siku hizi watoto wanakula serelaki, sisi tulikuwa tunavaa nepi siku hizi wanavaa pempasi ngoja waje wazazi wa kisasa watakupa ushauri