Chakula cha sikukuu

Haya bi mdada nipe nipe, mwisho wa siku nitachagua picha ya kushushia juisi yangu. [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hiyo juice yako hakikisha shemeji yuko karibu. Sio kwa mchanganyo huo.
 
Hapa kuna sinia la chicken nugget,
karibuni,masharti kila mtu aje na mzinga wa konyagi
 
Hapa kuna sinia la chicken nugget,
karibuni,masharti kila mtu aje na mzinga wa konyagi
Duh! Punguza masharti ndugu yangu....mzinga wa konyagi si mchezo
 
Hiyo juice yako hakikisha shemeji yuko karibu. Sio kwa mchanganyo huo.
Hiyo juisi nimeshaizoea hainipi tabu hata kidogo. Nguvu inayonipa ni for future use [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hiyo juisi nimeshaizoea hainipi tabu hata kidogo. Nguvu inayonipa ni for future use [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pasaka ijayo nenda mghahawa wa ESHA BUHETI FOODS wanapika vyakula vizuri mno, vitamu na kiwango cha ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…