hah haha haaa mbavu zangu mieeee....taa ya kuchambulia pamba duu....lazima atake gza!!
Khaaa! Masaa ya kazi wewe unashauri wenzio wajifungie ndani!...lol..Kula chakula mchana badala ya usiku.
nunua KOROBOI
mkitaka ku doo unaliswasha koroboi lako unaliweka uvunguni .....mwanga utakuwa hafifu asi utakuwa unatokea chini...ahh bmkubwa atalalamika teana na taa zako za mereran..
Hahaha!..kweli mpendwa, taa ya kukuzia kuku wa kisasa imefungwa bedroom!..kama sio kutiana ulemavu wa macho ni nini? Wacha bei ipande watu waweke energy seva..lolkuna mtu unakuta ndani kaweka bulb sijui ya watts 1000? sio joto na nahitaji sun goggles kabisa! acha ngeleja apandishe bei ya umeme tutie adabu,kha!
katavi x1000000000point@kavati[/QUOTE]Katavi.....
na wewe kuwa serious, usisimamishe mlingoti gizani, hapo mtaenda ngoma droo