... .chakula cha usiku kwenye GIZA..


hahahaha hapo umenena maana unaweza kukuta ni ya kichina
 
........badilisha hiyo taa ya kuchimbia madini,mambo yatakuwa sawa ukiweka yenye mwanga hafifu na yenye rangi!!!mwanga mkali na wewe wa nini?unatafuta sindando?kkhaa

hahahahaha hii post imenifanya nivunje glass ya bmkubwa pembeni apa...dah....mbavu cna
 

embu tuambie mkuu,hataki hata uwashe chemli?je mshumaa?....basi kama vipi tumia tochi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…