Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
Natumaini uko salama salama...
Natamani nikukumbushe kitu ..
Chukua CV yako kule mwisho kuna sehemu umeandika Referees ...
Hebu tafuta vocha wapigie .. Wasalimie.. Uwajulie hali...
Wengine Referees wenu hawana hata number zenu tena..
Wengine Ma Referee washahama hiyo address ,na wengine mareferee wenu hawajui hata kama bado ni referee wako
Hebu wakumbushe kuwa upo.
Have a goodnight