Chakula cha usiku

Chakula cha usiku

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Hivi ni chakula gani tunapaswa kula wakati wa usiku ili upate usingizi mzuri
 
Mkuu [USER=46913]gpblaze[/USER],..Mara nyingi mlo hutegemeana na kazi,(majukumu), wakati n.k. kwa watu wa "kawaida" yaani wale hufanya kazi mchana na kupumzika usiku. ni vizuri kutumia mlo huu.

Kutumia vyakula vya Protini zaidi na kuepuka vyakula vya Wanga, mafuta na kuepuka matunda mengi zaidi.Hii ni kwasababu kuna ongezeko/tokeo kubwa la sukari kutikana na matunda(Fructose) na wanga(Carbohydrate pia.Kwa kawaida Insulini inayotolewa mwilini hupungua kadiri muda wa siku unavyokwenda(yaani kupungua kuanzia asb hadi jioni- Insulin spikes) na hivyo basi vyakula vyenye Wanga na Sukari zaidi huweza kusababisha, kutolewa kwa Insulini tena na mmeng'enyo wa chakula kuwa mrefu na wakati mwingine kuingiliana na kuharibu usingizi.

Wengi huamka wachovu au husema "usingizi ule asubuhi asubuhi hivi ndiyo mtamu" ..hii ni kutokana na mwili(viungo vya mwili,hasa mfumo wa chakula) kufanya kazi usiku kucha(hasa kutokana na vyakula tajwa hapo juu) na wakati ule wa asubuhi mfumo kumaliza kazi yake na viungo vya mwili kuhitaji kupumzika baada ya kaxi ya usiku mzima lakini akili(mind) kukuhitaji kuamka kukabiliana na majukumu ya siku hiyo.
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye matunda sijaelewa..mbona wanasema sukari ya matunda sio mbaya ???
 
Last edited by a moderator:
Ok huenda ikawa sukari ya matunda haina shida ila ishu iko kwenye umeng'enyaji wakati wa usiku.
 
Hapo kwenye matunda sijaelewa..mbona wanasema sukari ya matunda sio mbaya ???

Mkuu Zion Daughter, ni kweli..hapo nimeongelea Sukari kwa ujumla!Hifadhi ya chakula mwilini, yaani huwa ni sukari(Glucose)..na Matunda(Fructose)..zote ni compound zenye kuwa na molecule sawa lakini bado sukari ya matunda ina unafuu.Hii haimaanisha ikiwa nyingi haina madhara..na hivyo basi wakati wa jioni ni kuepuka vyakula tajwa juu au kutumia kwa kiasi kidogo sana(snow here is very subjective).
 
Last edited by a moderator:
pia haishauriwi kula usiku sana karibu na kulala sababu hii inaweza pelekea chakula pamoja na acid kurudi na kuirritate/kudhhuru koo kitu kinachoweza kukuletea madhara. wale wa chips za saa sita usiku jihadharini.weka saa moja au zaidi kati ya kula na kulala.
 
Back
Top Bottom