mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Habari wanaMMU.
Naomba niingie kwenye mada bila kupoteza muda.
Hivi ni kweli ukila chakula chenye mchanganyiko na mafuta ya taa(kerosene) huondoa au kupunguza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa wale waliooa na kuolewa na uasherati au ngono kwa ambao hawajaoa au kuolewa?
Nimeskia kuwa hasa wale waliosoma single sex school hii kitu huchanganywa na misosi ili kupunguza Nyege ili wawe watulivu. Je ni kweli?
Naomba ikiwezekana mwenye uhakika na hili anisaidie mawazo au majibu.
Mungu wa mbinguni awalinde usiku huu