Chakula chenye kerosene hupunguza hamu ya tendo la ndoa?

mnyandzombe

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
245
Reaction score
194
Habari wanaMMU.

Naomba niingie kwenye mada bila kupoteza muda.

Hivi ni kweli ukila chakula chenye mchanganyiko na mafuta ya taa(kerosene) huondoa au kupunguza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa wale waliooa na kuolewa na uasherati au ngono kwa ambao hawajaoa au kuolewa?

Nimeskia kuwa hasa wale waliosoma single sex school hii kitu huchanganywa na misosi ili kupunguza Nyege ili wawe watulivu. Je ni kweli?

Naomba ikiwezekana mwenye uhakika na hili anisaidie mawazo au majibu.

Mungu wa mbinguni awalinde usiku huu
 
Kwenye shule za jinsia moja ni kweli huwa wanaweka mafuta ya taa kiasi flani kwenye chakula, ila sijajua kama ni kweli yanaondoa nyege au la. Ila kama ni kweli mafuta ya taa yanapunguza au kuondoa nyege kwanini mpaka leo hizi shule ndo zinaongoza kwa kutoa wanachama waliotukuka wa 'CHAPUTA'
 
Amen...Nawe pia na wana JF wote Nawaombea ulinzi na Uongozi toka MBINGUNI.
 
Nilikuwa kila nikila msosi nikiwa sec nasikia harufu ya mafuta ya taa!..
Siku moja nikatime nikaingia jikoni, kufika nikasikia wanasema ongeza kidogo bado, haya maharage hayajakolea!
Basi mimi nikaua so ila siku ile sikula nikataka niulizie kwa nini but nikaamua kupotezea tu...
 
Swali jengine, Je hayo mafuta hayana madhara?
Kama yapo ni yepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…