Chakula chenye ubora kwa kuku bora.

Chakula chenye ubora kwa kuku bora.

wrong turn

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
438
Reaction score
170
Msaada wahali na mali wanaJAMII, "Muhim sana".

Si mda mrefu sana tangu nianze kuekeza nguvu zangu kujishughulisha binafsi (kujiajiri), ila napata shida sana katika kukuza na kuimarisha biashara yangu katika maswala ya vyakula kwa mifugo (kuku) ili wawe bora na kuuzika kwa bei iliyo bora kwani soko limekuwa nilenye ushindani zaidi.

Kwa walio wataalam na wajuzi wa mifugo (kuku) wa kienyeji na broela naombeni msada wenu kuhusu vyakula gani naweza tumia kwa ubora wa kuku.

Kampuni gani yenye ubora wa vywakula kwa broela au nini na nini kinahitajika ukiamua kutengeneza mwenyeo chakula cha broela au chakuku wakienyeji?.

Naombeni mchanganuo wene wakuu kwa kunikwamua na hilo.
 
nitakutumia number ya mtaalam,au google ufgaji wa kuku
 
Back
Top Bottom