Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mtoto wangu ataanza kula wiki inayokuja maana anafikisha miezi sita naombeni diet nzuri sitaki anenepe sana kama mama yake maana hapa kananyonya tu ila ana 10 kg.
nimpe chakula gani?
nimpe chakula gani?