Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Asante baba mtoto kwa ushauriSoup ya Butternut squash, broccoli and cauliflower. pia waweza MPa mchuzi wa nyama nyeupeeeee, ie kuku , samaki
Butternut squash ndo nini?Soup ya Butternut squash, broccoli and cauliflower. pia waweza MPa mchuzi wa nyama nyeupeeeee, ie kuku , samaki
Kama maboga, ila yenyewe ni madogo sana na yanaliwa na maganda yakeButternut squash ndo nini?
Ok kiswahili yanaitwaje huko sokoni?Kama maboga, Ila yenyewe ni madogo sana na yanaliwa Na maganda yake
batanatiOk kiswahili yanaitwaje huko sokoni?
Ok asante sana nayajua haya hata gengeni nimeyaona mkuu
Uji niachane nao?batanati
Uji kidogo veggies kwa wingiUji niachane nao?
Unga gani Mkuu?Uji kidogo veggies kwa wingi
Vp Mkuu?Aiseeee.....[emoji45] [emoji45]
mtamuUnga gani Mkuu?
hahahaah aisee !mtamu
Uji sio lazima swty cha muhimu mtoto apate balanced meal hizo veges unapika na kipande cha samaki au nyama unablend pamoja unakua uji mzuri tu wenye virutubisho vyote,kunenepa ni wanga unakua mwingi na kumlazimisha mtoto kula chakula kingi zaidi ya mahitaji yakeUji niachane nao?
Kwa kuwa ndio Kwanza ana miezi sita mwazishie sembe plain, uichuje, iwe laini kabisa. Usitumie Dona, mahindi yana dawa kali za kuhifadhia yasiharibiwe na waduduUnga gani Mkuu?
Hapo kwenye mtoto kuwa na kilo 10, na hajafikisha hata miezi 6....!!Vp Mkuu?
sijui kWANN nimecheka
[emoji115][emoji115]batanati
Ok kiswahili yanaitwaje huko sokoni?