Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake.
Mtu mwingine anatamani kula kitu flani sena inashindikana huenda fedha hana au hamna wataalamu wa hicho chakula anachotaka nchi husika.
Mimi binafsi natamani sana siku nipate msosi wa nyama ya chatu au koboko cobra hivi ambaye amerostiwa vizuri kwa nyanya karoti hoho pilipili za kihindi na ugali wa muhogo nawaza huu msosi ntaupata wapi hapa TZ.