Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
Nn mkuu hiiNasikia hiki no chakula cha heshima sn huko Zambia,natamani siku moja nije kula
View attachment 2230164
Hichi chakula kinapikwa nji ganHiki apa[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2230166
Duuuh,Hiki apa👇😁😁😁
View attachment 2230166
Nn hii mkuu
Psylocibin shrooms! Damn!
Fanya utaratibu uishi karibu na Jamii ya wafugaji kama wamasai.Nyama, Maziwa
Kama mdau hapo juu alivyosema, ni Psilocybin MushroomsNn hii mkuu
🤣🤣🤣 mbona waduduNasikia hiki no chakula cha heshima sn huko Zambia,natamani siku moja nije kula
View attachment 2230164
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake.
Mtu mwingine anatamani kula kitu flani sena inashindikana huenda fedha hana au hamna wataalamu wa hicho chakula anachotaka nchi husika.
Mimi binafsi natamani sana siku nipate msosi wa nyama ya chatu au koboko cobra hivi ambaye amerostiwa vizuri kwa nyanya karoti hoho pilipili za kihindi na ugali wa muhogo nawaza huu msosi ntaupata wapi hapa TZ.
🤣🤣🤣 mbona wadudu
Hao wadudu usiombe waingie shambani kwako,Kama ni miembe watatafuna majani yote na kubakiza vijiti Tu,ukiwaona wakiwa wazima wanatisha snNn mkuu hii