Chakula hukinai haraka

sw33tboy

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
42
Reaction score
4
jamani nisaidieni hivi karibuni nimekuwa na tatizo moja ninapo kuwa na njaa ninakuwa nimetamani chakula flani nikianza kula maragafra chakula hunikinai nahapo sitaweza kuendelea kura tena nisaidieni inaweza kuwa tatizo gani wakuu
 
Labda una mimba, hebu nenda kacheki...
 
jamani nisaidieni hivi karibuni nimekuwa na tatizo moja ninapo kuwa na njaa ninakuwa nimetamani chakula flani nikianza kula maragafra chakula hunikinai nahapo sitaweza kuendelea kura tena nisaidieni inaweza kuwa tatizo gani wakuu
unatakiwa kunywa maji glasi 2 (ml 500) kila nusu saa kabla ya kila mlo, je unafanya hivi?. Magonjwa mengine yanayoweza kuepukika kwa kunywa maji kabla ya kula ni pamoja na vidonda vya tumbo, tumbo kunyonga, kiungulia, mafuta yaliyozidi, kansa ya utumbo mdogo, kukinaishwa na chakula, na ernia. soma zaidi: http://maajabuyamaji2.artisteer.net/jitibu-kwa-kutumia-maji/
 
nenda hospitali mkuu huenda una mimba, lakini sorry kama wewe ni mwanaume!
 
poa mkuu nitafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…