Chakula kwa mgonjwa wa kisukari

Mzee wangu nimemtoa Regency a month ago alilazwa kisa sukari. It was a big blast haijawahi kutokea. Awali aliigundua miaka 5 iliyopita, akapata mitishamba ikapona. Maana alipima ikaonekana hakuna, 3 months consecutively. Akawa kajiachia anakula apendavyo. Ilivyorudi mwaka jana Nov mwishoni ndio hatari. Ilifika 21 mtu hajiwezi. Alivyofika nikamkimbiza kwa Wahindi pale.

Siku hizi sukari yake ina range 7 hata 8 haifiki. Wakati mwingine hata insulin hajichomi japo zipo nyingi tu. Na hata siku 2 zinapita hajapima sukari na wala hatetereki.

Asubuhi uji, sometimes maandazi (yasio na mafuta sana) au scones, maharage, au supu ya kuku/samaki.

Mchana dona samaki/kuku, majani mboga au dagaa na matunda anakula.

Jioni ndizi, au dona tena au chochote kisicho sukari na wanga mwingi.

Kiasi fulani ni usumbufu kuandaa chakula cha mgonjwa sukari.

Nakomaa naye kwanza kisha atarudi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwezekana kuacha wanga kabisa aache kwan mwili unahitaji kiwango kidogo Sana cha wanga

Sabb mtu akiambiwa agawe ngumi yake ndo iwe kiwango cha wanga ale mara sita hapo ni calories ngap??

So nakushauri asile wanga zaidi ale protein na fat plus maji ya kutosha

Akitaka wanga iwe unrefined ila pia kidogo sana

Mimi nilpata nkiwa mjamzito iliisha tu nilvojifungua so niljifunza mengi na mpaka sasa nimeamua kuishi kwa protein and fat na mazoezi(walking 30 mins mara tatu mpaka 5 kwa wiki)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…