Chakula toka kwa mwanamke!

Chakula toka kwa mwanamke!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa wote Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo*

Chakula cha kuletewa na mwanamke hakitakuacha salama
[emoji28][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ad60560c28b2d41bf6164656b3921c58.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAULI HII INAPINGANA KABISA NA KAULI MBIU YA HAKI SAWA.YOYOTE YULE ANAPASWA KULETA CHAKULA MEZANI..
 
Back
Top Bottom