kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
-
- #21
Ni kwenye harakati za kujua mambo mbalimbali.tehe tehe tehe tehe kwanini huko na si kwingine
kuanzia mdomoni mpk mkunduni hio kitu kimedical inaitwa gastro intestinal tract(GIT)...kuhusu kusafirishwa chakula..baada ya digestion kumalizika zile product za mwsho mfno glucose huingia kwe damu(absorption) husafirishwa kwenda sehemu mbalimbali za mwili kulingana na mahitaji na zingine hubadilishwa kwenda kwenye aina zngne za chakula mfano glycogen ambazo huhifadhiwa mwilini....kuhusu chakula kinafkaje sehem za siri sasa hapo inategemea sehemu za siri zipi maana penis na korodan zinapata blood supply kupitia routes tofautiAhsante kwa update nzuri mkuu Kodofan.
Bado Niko palepale,tube inayotoka mdomoni hadi sehemu za siri inaitwaje?(kama kuna uwezekano)
Maelezo mazuri mkuu amygdalakuanzia mdomoni mpk mkunduni hio kitu kimedical inaitwa gastro intestinal tract(GIT)...kuhusu kusafirishwa chakula..baada ya digestion kumalizika zile product za mwsho mfno glucose huingia kwe samu(absorption) husafirishwa kwenda sehemu mbalimbali za mwili kulingana na mahitaji na zingine hubadilishwa kwenda kwenye aina zngne za chakula mfano glycogen ambazo huhifadhiwa mwilini....kuhusu chakula kinafkaje sehem za siri sasa hapo inategemea sehemu za siri zipi maana penis na korodan zinapata blood supply kupitia routes tofauti
hakuna alimetary canal to penis mkuu hapo unachanganya mamb sasa......Maelezo mazuri mkuu amygdala
Kwa sababu umetaja penis na korodani,basi fafanua hizo zote mbili.
Umesema alimentary canal to anus kimedical inaitwa gastro intestinal tract i.e GIT,je,alimentary canal to penis kimedical inaitwaje?,kama ipo lakini.
Nimeuliza tu Mkuu,ndiyo maana nikasema kama ipo.hakuna alimetary canal to penis mkuu hapo unachanganya mamb sasa......
Nimeuliza tu Mkuu,ndiyo maana nikasema kama ipo.
ww kuna vitu viwili unachanganya....kwanza mi nlikujibu ile system ya kutoka mdomon mpk mkunduni inavyoitwa,,baada ya hapo nakaanza kukujibu jinsi chakula kinavyowez sehemu za siri sasa ww cjajua swali lako liko wapi labda nielewesheNimeuliza tu Mkuu,ndiyo maana nikasema kama ipo.
12Umeishia darasa la ngap??..
Hahahahaaaa.Kinaendea nini huko sehemu za siri? Na umejuaje kama matobolwa uliyoyala jana yameenda sehemu za siri?!🙂
Hasa hasa nilitaka long tube from mouth to penis ambayo umeshanijibu,ulisema hakuna.ww kuna vitu viwili unachanganya....kwanza mi nlikujibu ile system ya kutoka mdomon mpk mkunduni inavyoitwa,,baada ya hapo nakaanza kukujibu jinsi chakula kinavyowez sehemu za siri sasa ww cjajua swali lako liko wapi labda nieleweshe
mkuu hakuna tube ya hvyo au ulikua unataka kujua kinachotokakupitia penis(mkojo)kinafikaje huko?Hasa hasa nilitaka long tube from mouth to penis ambayo umeshanijibu,ulisema hakuna.
Kama unaona kuna point muhimu ya kuongezea,ongezea tu Mkuu.
Nilitaka hiyo tu.mkuu hakuna tube ya hvyo au ulikua unataka kujua kinachotokakupitia penis(mkojo)kinafikaje huko?
Kwli hii ni swali kwa swali na jibu unalipata mwenyewe....Kwan miguuni kinaendaje ? Au kwa vile huko unapaita sehemu za siri ndo Chakula kitapotea njia ?
hahahaa aya mkuu nkipata time vizur naweza rudi nkaelezea nachokifahamuNilitaka hiyo tu.
Nipe na hiyo ya kinachompatia mtu penis(mkojo)
Umeandika kifupi lakini umezungumzia vitu muhimu sana.Swali zuri linalo hitaji mtu kutulia na kutafuta maneno ya kawaid kuweza kuyajibu.
Mwili unahitaji virutubisho mbali mbali ili huweze kufanya kazi kama kujijenga, kuupa mwili nguvu, kujikinda na matendo mengine.
Kila kazi hapo juu hufanywa au huwezeshwa na huwepo wa virutubisho fulani ili kufanikisha zoezi hilo.
Mfano a) kukiwepo virutubisho vya Glucose basi huweza kuzalisha nishati kwa ajili ya kuupa mwili nguvu na kufanya matendo mengine pia,
b) kukiwepo amino acid basi kazi ya kujenga mwili na kurekebisha seli zilizokufanya hufanyika ni vema kabisa.
Sasa hivi virutubisho vinapatikana vipi?
Hivi hupatikana baada ya la tendo UMENG'E NYWAJI (kuvunjwa vunjwa kwa chakula ili kuweza kupata virutubisho vinavyoweza kutumika kwa urahisi ) wa chakula kufanyika ambapo hufanyika kwa Stage kuanzia unapo weka chakula mdomoni.
Lengo kuu ni kupata virutubisho na sio huoo ugali ( chaguzi la chakula ni lako, ila hitaji ni moja katika vyakula vyote hiwe ni ugali , wali n.k )
Baada virutubisho kupatikana hivi hufonzwa ndani ya damu, na kusafirishwa sehemu mbali mbali za mwili, kwa mahitaji ya sehemu hizo.
Kwa hiyo popote ambapo kuna mishipa ya damu basi virutubisho, pamoja na hewa hupelekwa.
Sehem kubwa au viungo vikubwa hufikiwa na mishipa mikubwa ya damu (blood vessels ) na sehem ndogo kama kwenye ubongo na zingine vijishipa vidogo vya damu hupeleka (blood capilaries)
Sasa hapo ndio tendo husika na matokeo hueonekana baada ya virutubisho husika, au kemikali husika kufika na kufanyiwa kazi.
Mfano. Kama kuna baadhi ya vyakula zina kemikali asilia ambazo zinachochoe uzalishaji wa homoni nyingi za kiume ambazo vikiliwa huchochoea hormon hiz na kusababisha damu nyingi kupelekwa sehem za Uume na kuleta hisia.
Hivyo ni kwa kifupi naweza changia
Sawahahahaa aya mkuu nkipata time vizur naweza rudi nkaelezea nachokifahamu
daa!Na hiyo tube inayotoka mdomoni hadi kunako inaitwaje?