Chakula tunachokula kinasafirishwa vipi mpaka sehemu za siri?

Niwie radhi kama nimekukera Mkuu
Hapo sasa nimepata picha alimentary canal imeungana na artery inayoelekea sehemu za siri.
Kuna haja ya kudadavua uhusiano kati ya alimentary canal na sex organs.
mkuu nadhan unashindwa kuelewa padogo tu Alimentary canal ni mfumo wa chakula kwa kiswahili kufanakupona kaweza kukuelezea chakula kinasagwa vipi kuanzia mdomoni mpaka unaenda chooni via anus[mkundu]

wewe unapotakiwa kupaelewa zaidi ni stage ya pili assimilation ambayo tunasema chakula kinasharabiwa kwenye utumbo mwembamba
kuanzia hapa mfano kama ilikuwa ni starch(wanga)
hapa katika assimilation hufyonzwa na mishipa kwenda kwenye kongosho pancrease huko huweza kubadilishwa kwenda glucose
kumbuka glucose ndio tunaitumia katika miili yetu kama chanzo cha nishati nayo ikiwa katika mfumo wa ATP(ADONESINE-TRI-PHOSPHATE)
kama kitazidi hutunzwa katika mfumo wa glycogen

SASA WEWE NI KUTOKA HAPA NDIPO UNATAKA UWEZE KUELEWA


Tuanze na karanga zenye wingi wa protein ndani yake hizi baada ya kupitia hatua zote mdomoni tumboni hukutana na enzyme aina ya pepsin ambayo husharabu kwenda pepsinogen na hizo hufika utumbo mwembamba na kule husharabiwa na protease kwenda peptide hiyo ndio hufyonzwa mwilini
na sex organs huipataje

rudi kwenye spermatogenesis huu ni mfumo wa kutengeneza mbegu za kiume
kila siku ni lazima sperms zaidi ya million zizalishwe katika mwili wa mwanaume hapa huzalishwa kwenye korodani(testes)
na swali lako kivipi sehemu za siri huhusiana na chakula ipo hapa
pituitary hormone ndio kiongozi mkuu hiuamrisha hormoni za uzazi gonard hormone endapo kuna uhitaji wa peptide katika korodani hiyo huamrisha kongosho na kuzipeleka huko
na hapo ndipo mbegu huanza kutengenezwa zile zipo katika mfumo wa protein kwa uasili wake

na katika sexual intercourse pituitary ndio huamrisha kiasi gani kitoke baada ya seli zilizopo katika ncha ya uume
HIKI NI KITENDO MWENDELEZO MBEGU ZIKIZIDI MWILINI NI LAZIMA ZITOKE ZIPO NJIA
ndoto nyevu n.k

hii ni Bs niliyomeza miaka saba iliyopita kama pana ugumu lete swali mkuu BIOS=LIFE
 
Kwa ufafanuzi huo unaoeleweka, Mkuu THE RICHARDS,sina cha kuongeza.Ila nikipata swali nitauliza.
Shukrani.
 
MTOA MADA NINA WASI WASI NA ELIMU YAKO MAANA SWALI ULILOULIZA NI LA KITOTO ATA MDOGO WAKO ANAE SOMA CLASS 6 ANAWEZA KUKUJIBU.
 
MTOA MADA NINA WASI WASI NA ELIMU YAKO MAANA SWALI ULILOULIZA NI LA KITOTO ATA MDOGO WAKO ANAE SOMA CLASS 6 ANAWEZA KUKUJIBU.
Bios nilikimbia Mkuu,ndiyo maana nauliza maswali ambayo wengine wanayaona ya kitoto.
Siyo mbaya sana,wakuu walivyonifahamisha,nimejua sasa.
Nina kitu kipya sasa.
 
Daaaaaaaaaa
 
mimi nina tiba ya matunda tu kutibu nguvu za kiume kwa gharama ya elfu 20 na kwa whats app 0712505049 tatizo hasa la uzazi linakua na chanzo kama ulegevu wa misuli na pia hormone sasa matunda ya madin vitamin vinaipa misuli nguvu na pia inatibu hormone kwa kuipandisha mfano ukila machungwa uta hamasisha hormone ya kusaga chakula na utasikia njaaa baada ya muda sababy ya acid iliyoko kwenye chungwa.
 
Nilichojifunza kwenye huu uzi
1: Ile basic biology ya O Level wengi tuliikariri hatukuelewa ingawa swali la mleta mada ni topic ya Cardiovascular system form 3 au 4

2: Wasomi wetu wanashindwa kuelezea mambo ya kitaalam in a layman language kiasi mtu asiye na idea hawezi kuelewa kirahisi

Kwa uelewa wangu mdogo wa bios:Usafirishaji wa chakula(virutubisho vya chakula) ,homoni,hewa,dawa tunazokunywa,na kemikali nyingine hufanywa kwa kiasi kikubwa na mfumo wa usafirishaji ambapo kuna moyo na mishipa yake iliyosambaa mwili mzima.Moyo husukuma damu iende na sehemu mbali mbali ikiwemo hizo sehemu za siri

Chakula tunachokula husagwa na kufyonzwa kutoka kwenye njia ya chakula kuingia kwenye mishipa ya damu then inasambazwa kwenye mwili mzima
 
kiongozi kufanakupona ameuliza jinsi gani chakula kinafikia malengo ya mpaka sehemu za siri na wewe umeona ni bora kuja kumchanganya na hizi ishu za misuli ya moyo? Niliachana na bios o level ila naamini jibu lako ni hatua inayofuata baada ya umeng'enyaji kufanywa kama wadau wengine walivyochangia.
 
Niwie radhi kama nimekukera Mkuu
Hapo sasa nimepata picha alimentary canal imeungana na artery inayoelekea sehemu za siri.
Kuna haja ya kudadavua uhusiano kati ya alimentary canal na sex organs.
Hujaniboa... Ahaaa, wewe sasa hapa unataka kujua dawa inafikaje sehemu za siri?
Dawa huingia mwilini kwa njia kuu mbili, either kwa kumeza vidonge au kwa kuchomwa sindano...
Dawa inayoingia kwa kuchomwa sindano huingia kwenye damu moja kwa moja na husambazwa mwili mzima kutokana na mzunguko wa damu... Dawa zinazoingia kwa kumeza vidonge huenda mpaka tumboni ambapo huyeyushwa na kunyonywa na mishipa ya damu kutoka tumboni na kusambaa mwili mzima...
Sasa ile dawa inapokuwa mwilini ikizinguka hufika mpaka kwenye sehemu husika na kutibu kile ambacho inatakiwa kutibu. Mfano dawa za fungus huwa zina enda hadi kwenye ngozi na kubind kwenye receptors zilizoko kwenye 'ngozi' ya fungus ambapo huaribu ukuta wa cell za fungus au vijidudu vingine na kuharibu ile asili ya ukuta ngozi. Huu ukuta ngozi umeundwa kwa semi permeable membrane. Sasa taswira ya ukuta huu ikiharibiwa, cell inakuwa inanyonya maji kupita kiasi na hivyo kupasuka. Cell inapopasuka, mdudu husika hufariki dunia. Hivi ndivyo dawa nyingi zinavyofanya kazi kuua vijidudu mwilini...
 
Compounds zipi na zipi ambazo zinapenya kwenye ngozi kirahisi hadi kwenye kiungo kilichokusudiwa,zikitumiwa kama dawa katika mfumo wa kupaka au kuchua?
 
Compounds zipi na zipi ambazo zinapenya kwenye ngozi kirahisi hadi kwenye kiungo kilichokusudiwa,zikitumiwa kama dawa katika mfumo wa kupaka au kuchua?
Digestion inapofanyika, chakula huvunjwa vunjwa na kuwa molecules ndogo ndogo sana ambazo huwezi kuziona kwa macho. Kama wadudu wa Marelia, Typoid au Ukimwi wanapita, kwanini dawa isipitie?
 
Nilikuwa nafikiria mbali chakula kinasafirishwa vipi hadi sehemu za siri za mbele,nilifikiri jibu litakuwa ni topic ngumu na ya ajabu,kumbe topic ni digestive system,nimejua topic ni hiyo baada ya wakuu mbalimbali kulenga hapohapo kwenye digestive system.Bila kuuliza nisingejua.Kuna kitu cha kufanyia kazi sasa,ni FOOD ABSORPTION.
Food absorption ndiyo mpango mzima wa jinsi nutrients(virutubisho) vinavyosambaa kwenda viungo mbalimbali vya mwili.
Long lives GREAT THINKERS.
 
Digestion inapofanyika, chakula huvunjwa vunjwa na kuwa molecules ndogo ndogo sana ambazo huwezi kuziona kwa macho. Kama wadudu wa Marelia, Typoid au Ukimwi wanapita, kwanini dawa isipitie?
Chakula kinavyosambaa mwilini ni sawasawa na dawa(vidonge) vinavyosambaa mwilini,vinaingia katika mishipa ya damu halafu dawa inasambaa kwenye viungo vyote,ikifika kwenye kiungo kilichokusudiwa,hapo ndipo inafanya kazi.
Kwa nini dawa isiende kwenye kiungo husika tu peke yake bila kwenda kwenye viungo visivyohusika?
Kwenda kwenye viungo visivyohusika,quantity na nguvu ya dawa vinapungua.Kwa sababu dawa nyingi itakuwa imepotea bure kwenda sehemu zisizotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…