Chakula unachomlisha mwanao kinaweza kuimalisha or kudhoofisha afya ya mwanao

snead

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
79
Reaction score
23
Ulaji Wa vyakula vya sukari,vyakula vyenye kemikali za vionjo kama rangi,radha, na sukari iliyo ongezwa,vihifadhi vyakula katika makopo, box na ulaji wa vyakula vyenye High glycemic index ndio unatufikisha hapa.
Huwa naumia sana ninapokutana na Childhood Obesity kwani sio malengo yake kupata sugary addiction bali wazazi ndio mnahatarisha maisha ya watoto wengu kiasi hiki.

Juhudi zangu ni kuhakikisha watu kama hawa wanaishi maisha ambayo Mungu alikusudia ,maisha ya bila kisukari, maisha ya bila uzito mkubwa na kitambi maisha ya bila magonjwa shambulizi [Auto immune disoder]

Kama unaungana nami na umeguswa na hali ya watoto wetu kuwa katika namna hii hebu type chochote kumaanisha utadhibiti mlo sahihi kwa manao sio ulaji wa Tambi,chokoleti,baga, Mikate na kwa ujumla ulaji wa wanga katika kiwango kilichopindukia, ulaji wa vyakula vyenye kemikali kwa kupindukia.
Inaumiza sana hebu utandawazi wa viwanda usiathiri malezi ya mtoto wako katika mlo

Kwa makala zaidi kuhusu afya unagana nami kwa
Facebook page: Khalid Gugu
Blog: khalid1710.wordpress.com
 
unataka wale ugali?

Burger ni mkate ulio na viungo kama butress, ham/chicken/beef, lettuce, cheese etc etc. Tatizo kwenye burger ni nini?

Mkate, tambi, noodles etc ni ngano products ktk form tofauti. Tatizo lake ni nini?

Sometimes muwe mnatoa na facts na sio kusema tu usile x , usile y...

After all death is inkwepabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…