Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.

11.jpg
Novemba mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey, alimteua Chakwera kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na ilitangazwa angefanya ziara ya siku nne nchini kuanzia Novemba 18 hadi 21, lakini hakuonekana kama ilivyotarajiwa.

Soma: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola amemteua Dkt. Lazarus Chakwera kuwa Mjumbe Maalum Tanzania kusuluhisha masuala ya uchaguzi

Katika ziara hiyo ya awali, kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jumuiya ya Madola, angefanya majadiliano na wadau mbalimbali kuhusu masuala yanayohusiana na uchaguzi na mustakabali wa maendeleo ya nchi.

Ilielezwa angekutana na viongozi wa Serikali, wanasiasa, mashirika ya kiraia, viongozi wa dini, mila, na wadau wa kitaifa na kimataifa ili kuanzisha mjadala jumuishi kuhusu maridhiano, haki za kisiasa na kuimarisha demokrasia.

Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia .jpg
Ziara hiyo ya awali ilitangazwa wiki chache baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana, siku ambayo kuliibuka maandamano yaliyozaa vurugu, zilizosababisha vifo vya watu na uharibifu wa mali za umma na binafsi.

Hata hivyo, haikuwahi kuwekwa wazi ni nini kilikwamisha ziara hiyo ya siku nne ya Chakwera. Hata Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati huo aliwahi kuiambia Mwananchi kuwa hakuwa na taarifa za ziara ya kiongozi huyo nchini.

Lakini, Chakwera anakuja mwezi mmoja baada ya Tanzania kupokea ujumbe mwingine wa jumuiya ya kimataifa. Ilimpokea mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Parfait Onanga-Anyanga, aliyefanya ziara nchini kuanzia Machi 8 hadi 12.

Katika ziara hiyo, Onanga-Anyanga alizungumza na viongozi wa vyama vya ACT Wazalendo, Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na asasi za kiraia kuhusu yaliyotokea Octoba 29.
 
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini kwa ziara ya kikazi usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, ikiwa ni takriban miezi sita imepita tangu ilipotangazwa angewasili kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.

Novemba mwaka jana, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey, alimteua Chakwera kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na ilitangazwa angefanya ziara ya siku nne nchini kuanzia Novemba 18 hadi 21, lakini hakuonekana kama ilivyotarajiwa.

Katika ziara hiyo ya awali, kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jumuiya ya Madola, angefanya majadiliano na wadau mbalimbali kuhusu masuala yanayohusiana na uchaguzi na mustakabali wa maendeleo ya nchi.

Ilielezwa angekutana na viongozi wa Serikali, wanasiasa, mashirika ya kiraia, viongozi wa dini, mila, na wadau wa kitaifa na kimataifa ili kuanzisha mjadala jumuishi kuhusu maridhiano, haki za kisiasa na kuimarisha demokrasia.

Ziara hiyo ya awali ilitangazwa wiki chache baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana, siku ambayo kuliibuka maandamano yaliyozaa vurugu, zilizosababisha vifo vya watu na uharibifu wa mali za umma na binafsi.

Hata hivyo, haikuwahi kuwekwa wazi ni nini kilikwamisha ziara hiyo ya siku nne ya Chakwera. Hata Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati huo aliwahi kuiambia Mwananchi kuwa hakuwa na taarifa za ziara ya kiongozi huyo nchini.

Lakini, Chakwera anakuja mwezi mmoja baada ya Tanzania kupokea ujumbe mwingine wa jumuiya ya kimataifa. Ilimpokea mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Parfait Onanga-Anyanga, aliyefanya ziara nchini kuanzia Machi 8 hadi 12.

Katika ziara hiyo, Onanga-Anyanga alizungumza na viongozi wa vyama vya ACT Wazalendo, Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) na asasi za kiraia kuhusu yaliyotokea Octoba 29.
 
Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola.

Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na ilitangazwa angefanya ziara ya siku nne nchini kuanzia Novemba 18 hadi 21, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jumuiya ya Madola, Chakwera angefanya majadiliano na wadau mbalimbali kuhusu masuala yahusianayo na uchaguzi na mustakabali wa maendeleo ya nchi.

Ilielezwa oia kwamba angekutana na viongozi wa Serikali, wanasiasa, mashirika ya kiraia, viongozi wa dini, mila, na wadau wa kitaifa na kimataifa ili kuanzisha mjadala jumuishi kuhusu maridhiano, haki za kisiasa na kuimarisha demokrasia.

Ziara hiyo ya awali ilitangazwa wiki chache baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana, kufuatia maandamano yaliyozaa vurugu, zilizosababisha vifo vya watu na uharibifu wa mali.

Hata hivyo, haikuwahi kuwekwa wazi ni nini kilikwamisha ziara hiyo ya siku nne ya Chakwera.

Chakwera anakuja mwezi mmoja baada ya Tanzania kupokea ujumbe mwingine wa jumuiya ya kimataifa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Parfait Onanga-Anyanga, aliyefanya ziara nchini kuanzia Machi 8 hadi 12. Katika ziara hiyo, Onanga-Anyanga alizungumza na viongozi wa vyama vya siasa vikiwemo CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo, CHAUMMA pamoja na asasi za kiraia kuhusu yaliyotokea Octoba 29.
 

Attachments

  • 1775714767170.png
    1775714767170.png
    574.8 KB · Views: 35
658949929_18529225438076954_8521955324401314137_n.jpg


Rais wa zamani wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, amewasili nchini Tanzania usiku wa Aprili 8, 2026 usiku kwa ziara ya kikazi.

Dk Chakwera ambaye pia ni mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Ayorkor Botchwey, alipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe.

Inafahamika kuwa Dk Chakwera aliteuliwa na Jumuiya ya Madola kama Mjumbe Maalum (Special Envoy) mnamo Novemba 2025 ili kupatanisha na kuongoza mazungumzo ya kitaifa ya maridhiano nchini kufuatia vurugu ziliztokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2026.

Hata hivyo, Rais Samia Suluhu Hassan aliunda Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 inayoongozwa na Jaji Mohamed Othman Chande. Awali tume hiyo ilipewa siku 90, lakini iliongeza siku 42 na sasa imeogeza tena siku 24.

Machi 2026, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu wa Bunge), Profesa Palamagamba Kabudi alishiriki mikutano ya Jumuiya ya Madola jijini London nchini Uingereza, ambapo alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey, ambapo Tanzania ilitakiwa kuchukua hatua ya kuunga mkono ahadi yake iliyotajwa kwenye mkataba wa jumuiya hiyo ikiwa pamoja na kuwezesha ziara ya Dk Chakwera.
 
View attachment 3569830

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, amewasili nchini Tanzania usiku wa Aprili 8, 2026 usiku kwa ziara ya kikazi.

Dk Chakwera ambaye pia ni mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Ayorkor Botchwey, alipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Maghembe.

Inafahamika kuwa Dk Chakwera aliteuliwa na Jumuiya ya Madola kama Mjumbe Maalum (Special Envoy) mnamo Novemba 2025 ili kupatanisha na kuongoza mazungumzo ya kitaifa ya maridhiano nchini kufuatia vurugu ziliztokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2026.

Hata hivyo, Rais Samia Suluhu Hassan aliunda Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 inayoongozwa na Jaji Mohamed Othman Chande. Awali tume hiyo ilipewa siku 90, lakini iliongeza siku 42 na sasa imeogeza tena siku 24.

Machi 2026, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu wa Bunge), Profesa Palamagamba Kabudi alishiriki mikutano ya Jumuiya ya Madola jijini London nchini Uingereza, ambapo alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey, ambapo Tanzania ilitakiwa kuchukua hatua ya kuunga mkono ahadi yake iliyotajwa kwenye mkataba wa jumuiya hiyo ikiwa pamoja na kuwezesha ziara ya Dk Chakwera.
Yote takataka, hana lolote la maana atalizungumza au ku enforce! Ngoja apate per diem anarudi kwao
 
Kinachotakiwa waje wachunguzi kutoka ICC waje wafanye uchunguzi wao ili wakaandae utaratibu wa Pre-trial Chamber Summons kwa watuhumiwa wote ambao hata hivyo wanafahamika vizuri tu wako kama watu 6 hivi au 7.
 
Commonwealth suala hili la Mauaji ya Oktoba 2025 nchini Tanzania walichukulie kwa uzito mkuu.
1775727768197.jpeg

1775727748648.jpeg

Picha: Lazaro Nyalandu mshauri wa diplomasia wa Samia akisukuma kete za ushawishi kwa katibu mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Shirley Botchwey

Sarakasi za Nyakandu au sheikh Kombo, profesa Palamagamba Kabudi na bosi wao Samia zisiifanye Commonwealth kuhadaika na Tume ya Jaji Chande wala ufafanuzi wa Dr. Gerson Msigwa ah propaganda za chama dola kongwe
1775727813093.jpeg

Profesa Kabudi akisukumiza hoja alizotumwa na Samia kwa katibu mkuu Shirley Botchwey

TOKA MAKTABA:

08 April 2026

Hotuba ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola katika Kumbukumbu ya 32 ya Mauaji ya Kimbari Dhidi ya Watutsi ya 1994 nchini Rwanda​


1775727448407.jpeg

Hotuba ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mheshimiwa Shirley Botchwey katika Kumbukumbu ya 32 ya Mauaji ya Kimbari Dhidi ya Watutsi ya 1994: 32 Kwibuka (Kumbuka - Ungana - Upya) mnamo tarehe 7 Machi 2026 katika Kanisa la Parokia ya St Marylebone, London.
Tunakusanyika leo kwa ajili ya kumbukumbu ya 32 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda. Huu ni wakati si tu wa kuheshimu kumbukumbu ya zaidi ya watu milioni moja wasio na hatia waliopotea, lakini pia kukabiliana na ukweli mchungu: dunia ilishindwa Rwanda. Ahadi ya "kutowahi tena," kuzaliwa kutokana na majivu ya ukatili wa zamani, haikutekelezwa. Lazima tukubali kushindwa huku kwa unyenyekevu na azimio, kwani ukumbusho bila uaminifu hauwezi kusababisha kinga.

Leo, tunainamisha vichwa vyetu kwa waathiriwa—wanaume, wanawake, na watoto ambao maisha yao yalichukuliwa kwa ukatili usiofikirika. Tunasimama na manusura, ambao ustahimilivu wao unaendelea kuhamasisha ulimwengu. Na tunathibitisha tena kwamba kumbukumbu ni jukumu. Kukumbuka ni kupinga kutojali. Kukumbuka ni kutetea ukweli dhidi ya kukataa na kupotosha.

Hata hivyo, hata katika kivuli cha janga kubwa kama hilo, Rwanda inaipa dunia ushuhuda wenye nguvu wa ustahimilivu na upya wa binadamu. Katika miongo kadhaa tangu 1994, Rwanda imechagua njia si ya kulipiza kisasi, bali ya umoja. Kupitia ujasiri, uongozi, na kujitolea kwa haki na maridhiano, taifa limejenga upya muundo wake wa kijamii na kurejesha matumaini miongoni mwa watu wake. Uhusiano wangu na Rwanda ulianza zamani sana, nilipohudumu katika nyadhifa tofauti nyumbani. Uhusiano huo umeundwa na masomo kutoka kwa hadithi ya Rwanda ya ustahimilivu na urejesho. Kwa kutumia mbinu kadhaa, ikiwa ni pamoja na suluhisho za nyumbani, Rwanda imeunda mfumo ambao unapaswa kuigwa na mataifa mengine baada ya migogoro.

Mifumo ya haki inayotegemea jamii, juhudi za upatanisho wa kitaifa, na utawala shirikishi vimesaidia kukuza uaminifu ambapo hapo awali kulikuwa na mgawanyiko mkubwa. Safari ya Rwanda inatukumbusha kwamba hata majeraha makubwa zaidi yanaweza kuanza kupona wakati utu, uwajibikaji, na kusudi la pamoja vinaongoza taifa mbele. Ni hadithi si ya kusahau yaliyopita, bali ya kuyabadilisha kuwa msingi wa amani.

Michango ya Rwanda kwa Jumuiya ya Madola inaonyesha roho hii hiyo ya upya na uongozi. Kuanzia kuandaa kwa mafanikio Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mwaka wa 2022, hadi jukumu lake kubwa katika Troika, na ushiriki wake thabiti katika mikutano tofauti ya Jumuiya ya Madola, Rwanda imeonyesha kujitolea kwa dhati kwa maadili yanayotuunganisha pamoja kama ilivyoainishwa katika hati yetu. Sauti yake ndani ya chama chetu ni ya kujenga na ya kuangalia mbele, iliyoumbwa na historia lakini ikizingatia sana mustakabali.

Kama tunavyotafakari leo, lazima pia tuangalie mbele. Jukumu la kuzuia ukatili kama huo haliko kwa taifa moja pekee—ni la kwetu sote. Viongozi kote Jumuiya ya Madola na kwingineko lazima wabaki macho dhidi ya nguvu zinazowezesha vurugu—usemi wa chuki, mgawanyiko, ubaguzi, na mmomonyoko wa ukweli.

Lazima tuwe wazi: kukataa mauaji ya kimbari si tu kudharau kumbukumbu—ni tishio kwa amani. Ukweli unapopotoshwa, historia inapoandikwa upya, na utu wa binadamu unapopungua, hali za vurugu zinaweza kuota mizizi tena. Ni wajibu wetu kupinga hatari hizi popote zinapoonekana.

Kwa vijana wa Jumuiya ya Madola, nasema hivi: jukumu lenu leo litaamua mustakabali wetu. Sauti zenu ni muhimu. Matendo yenu ni muhimu. Simameni dhidi ya chuki katika aina zake zote—mtandaoni na nje ya mtandao. Tetea ukweli. Endeleza uelewa. Jenga madaraja ambapo wengine wanatafuta kugawanya. Mustakabali tunaotamani unategemea ujasiri wenu wa kushikilia maadili tunayoshiriki.

Maadhimisho haya yasiwe tu wakati wa maombolezo, bali wito wa kuchukua hatua. Tujitoe tena kujenga jamii ambapo utofauti unasherehekewa, ambapo haki inatawala, na ambapo kila mtu anatendewa kwa utu na heshima. Katika kuheshimu kumbukumbu ya wale tuliowapoteza, na katika kusimama na wale walionusurika, tunarudia ahadi yetu ya pamoja: kamwe tena lazima kumaanisha kamwe tena
 
1775728405969.jpeg

Balozi Nyalandu mshauri wa rais masuala ya kidiplomasia..
Interfaith Conference
We are honored to announce His Excellency Ambassador Lazaro Nyalandu as a keynote speaker at “United in Liberty: The Rise of #SpiritualDiplomats” International Interfaith Conference.


1775728677805.jpeg

Lazarus Chakwera, the President of Malawi since June 2020 and a former Assemblies of God pastor, has consistently utilized interfaith dialogue as a tool for national unity, peacebuilding, and developmental partnership. His approach combines his background as a theologian with his role as a political leader to promote co-existence among Malawi's religious communities.
Key Aspects of Chakwera's Interfaith Dialogue:
  • Public Affairs Committee (PAC) Engagement: Early in his presidency, in August 2020, President Chakwera engaged in interfaith dialogue with the Public Affairs Committee, a powerful group of religious leaders in Malawi that acts as a watchdog for good governance and peace.
  • Promotion of Religious Harmony: Chakwera has publicly thanked Malawians for co-existing peacefully and has warned against attempts to use religion or politics to divide the country.
  • Collaboration with the Muslim Community: He has actively engaged with the Muslim community in Malawi, encouraging them to promote unity and contributing to their welfare. He has also hailed the work of international Islamic organizations, such as the Muslim World League, for their aid in Malawi.
  • Churches as Development Partners: Chakwera has urged churches to act as strategic development partners in line with the country's national vision (Vision 2063), emphasizing that religious and political leaders must work together to serve the people.
  • Addressing Social Issues: The President has held meetings with the Malawi Interfaith Alliance to address specific social and health crises, such as the polio outbreak.
Despite his efforts, the president has faced challenges in navigating diverse religious perspectives, and some reports have noted that the political and economic climate sometimes creates tensions that test these interfaith efforts
 
Hiyo jumuiya ya madola ndo jumuiya gani kwani?

Mbona kaja mzee hajaja na wanajeshi wala pingu kwani wahalifu atawafanya nini?

Au ndo ile kaja kuwataja kwa majina ili tuwazomee waone aibu?
 
07 April 2026

Malawi: Chakwera Spits Fire - 'My Silence Is Not Weakness'​

7 April 2026
1775779110576.jpeg

Former President Dr. Lazarus McCarthy Chakwera yesterday delivered a rare, fiery warning, making it clear that his trademark calmness and restraint should never be mistaken for political weakness.
1775778937676.jpeg

Speaking at the funeral ceremony of Sub-Traditional Authority Malembo in Lilongwe, The late Sub T/A Malembo, whose real name was Edson Phillipo Ng’ombe, passed away last week on Thursday.

Former president Chakwera struck an unusually firm and emotional tone, appearing to send a strong message--albeit indirectly--to figures within the ruling Democratic Progressive Party (DPP).

In a speech that mixed reflection, warning, and conviction, Chakwera emphasized that his silence over political matters has always been a deliberate choice rooted in his commitment to peace and national unity--not fear.

"Do not provoke me (musanditengere ku mtoso)... our ancestors fought these battles and advised us not to repeat them," he said, drawing on cultural wisdom to underline his stance.

He stressed that his quiet approach to politics should not be misunderstood.

"I remain quiet not because of fear or weakness, but because I cherish peace in this country," Chakwera told mourners, his voice carrying both restraint and resolve.

But the former president did not stop there. In what many observers may interpret as a clear warning, he cautioned that continued provocation could push him to respond.

"I am ready to 'die' for you if oppression continues like this," he declared--words that drew attention for their intensity and emotional weight.

Chakwera reaffirmed that he is, at heart, a peace-loving leader, but insisted that patience has limits when faced with what he suggested could be persistent provocation or injustice.

Despite the strong tone of his remarks, it remains unclear what specific actions or incidents from the ruling party may have triggered such a response.

Notably, Minister of Local Government and Rural Development Ben Phiri, a senior DPP official who was present at the funeral, did not publicly respond to Chakwera's remarks.

The moment marks a significant shift in tone for Chakwera, long known for his measured and composed political style--raising questions about whether the country may be entering a more confrontational phase in its political discourse.
Source : Nyasa Times
 
TOKA MAKTABA :

CHAKWERA - TANZANIA NI MDAU MUHIMU WA KIMKAKATI

Tanzania Is Strategic Trade Country - Chakwera​

  • 16 Desemba 2020
1775815628961.jpeg


Lilongwe — Rais Dkt. Lazarus Chakwera ameelezea ziara yake nchini Tanzania kama ya kimkakati yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili.

Chakwera alikuwa akizungumza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (KIA) Jumatano alipokuwa akiondoka kuelekea Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.

Alisema kwa kuzingatia asili ya Tanzania kuwa njia kuu ya usafiri kwa Malawi, ni muhimu kutembelea nchi hiyo na kuthamini jinsi shughuli za biashara zinavyofanyika.

"Ziara hii ina manufaa kwa nchi kwa sababu Malawi na Tanzania zina mambo mengi yanayofanana. Kwa hivyo, tunahitaji kuwa na uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya nchi hizo mbili," alisema.

Wakati wa ziara hiyo, Rais atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenzake wa Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu maeneo mbalimbali ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Akiwa Tanzania Dkt. Chakwera pia atatembelea bandari ya Dar es Salaam na Malawi Cargo Centre and Logistics Limited.

Rais atarejea nyumbani Ijumaa hii kupitia KIA.

Hadi sasa Rais Chakwera ametembelea Zambia, Zimbabwe na Msumbiji tangu alipochukua madaraka mwezi Juni mwaka huu
 
Back
Top Bottom