Chalamila akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
sawa tu wataruka sana ila ndio hivyo tena Mungu kaamua kutupa nchi mpya
 
Hahaha huyu jamaa kapima upepo baada ya kusikia Ndugai kasalimu amri kaona akanushe maneno yake mwenyewe. Chezea mama Samia weye hahaha
 
MaCCM wanaifanya nchi vibaya, kinyume cha maumbile, vururu vururu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…