Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?
Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia waganga wa kienyeji kwa sheria zipi za nchi wakati waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kwa katiba ya nchi hii?
PIA SOMA
- Kufuta mauaji ya albino, ni kutokomeza kabisa Waganga wapiga ramli
- Damu ya huyu Mtoto Itazungumza mpaka wahusika wote na mtandao wao wapatikane popote walipo hapa duniani